MN
Kenya Joined October 2026
Mchungaji Joseph Ngala
@mchungajijosephngala
0 memorials created1 tributes written1 remembering
Tributes
Remembering Pendo Karisa Baya · 1w ago
Mchungaji, ACK St. Philip
Mama Pendo alikuwa sauti ya kwanza kanisani na mkono wa kwanza jikoni. Alihubiri kwa vitendo kuliko kwa maneno, na kila msiba ulimkuta tayari na sufuria. Mungu amlaze mahali pema peponi, amina.