Skip to content
Kenya's death announcements & obituaries Place an announcement
Death announcements & obituaries in Kenya
MKIn memory of Mutheu Syombua Kioko
Church & faith group

Kamati ya Kanisa la AIC Kitui

Ibada ya mazishi, kwaya na kuwahudumia wageni.

Ofisi ya kanisa, Jumanne saa tisa alasiri

Contact: Mchungaji Joseph Kyalo

21 membersSign in to join

Announcements

Sign in and join the committee to share an update.

Mchungaji Joseph Kyalo

Asanteni sana kwa michango yenu. Tumefikia asilimia 69 ya lengo letu. Mungu awabariki.

Mchungaji Joseph Kyalo

Mkutano wa kamati utafanyika leo saa kumi na moja jioni, Ofisi ya kanisa. Karibuni nyote.

Mchungaji Joseph Kyalo

Tafadhali tumeni picha za Mutheu kwa katibu kabla ya Alhamisi kwa ajili ya programu.

Members